Mbona kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu?

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
774
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina muda mrefu sana kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu sana dushe kuingia. Mpaka nifanye maandalizi kwa muda mrefu sana, vinginevyo sipati kitu.

Inaniwia vigumu sana kufanya foreplay kwa saa nzima, wadau hii inasababishwa na nini, kama kuna mtu ana experience na hii ishu anisaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom