Marwa Chacha
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 102
- 51
Ni zaidi ya miaka mitano sasa rais wetu JK hajafika mkoa wa Mara kufanya ziara yoyote ya kukagua miradi zinazoendelea haswa Musoma Mjini.
Kuna mradi mbali mbali Kama hosipitali ya kwangwa mradi wa maji Bukanga,barabara kuu ya kuingia Musoma Mjini njia mbili, pia miradi mbali mbali hapa.