mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Heri ya sikukuu....
Wakati Ombeni Sefue akiwa katibu mkuu kiongozi, tulikuwa mara kwa mara tukimsikia akitoa matamko mbali mbali kuhusiana na uendeshaji wa serikali.
Tangu Kijazi aingie kuchukua nafasi yake, amekuwa kimya na kufanya watanzania wasahau kama kuna nafasi ya katibu mkuu kiongozi......Kijazi toa neno basi hata kwenye hili la watumishi hewa....wewe ndio muajiri mkuu.
Pasaka njema.