GE2025 Mbona kama wameanza kuogopa kuhusu oktoba 29?

GE2025 Mbona kama wameanza kuogopa kuhusu oktoba 29?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mlevi ukiweza kumsikiliza dakika 5 akiwa anazungumza basi una moyo sana..
 
Hata wakiona unyoya unatikisika lazima waogope kwa sasa hawaelewi na hawajui ni kitatokea siku hiyo
 
Na hapo fikiria tu wamemshikili gerezani yule Mzalendo kwa kesi ya kupika! Kama angekuwa uraiani haki ingekuwaje!
 
Back
Top Bottom