Mbona kama ninamwona huyu member humu jamvini?? Hebu azunguke huku na atujuze haya...

Status
Not open for further replies.
Ndio yupo. Nimemkuta jukwaa la siasa akitoa mada inayohusu tamko la jumuiya ya waislamu znzbr.........kitu kama hicho. Sijui kama ataendelea na yale mambo yake ya zamani? Labda kabadilika.
 
Mbona atakuwa na hali ngumu,namshauri abadili jina aitwe KIFAFA SUGU maana kila akirudi anaangukia ban.Tujifunze kuheshimu mawazo ya wengine ili tudumu katika amani ya JF
 
Kwa kweli ndiyo nimejua tabia ya mtu haina dawa kamwe!
Amelambwa Banned tena?
Duh! Yake ni ngumu!
 
Siyo mwingine ni Malaria Sugu nimemwona humu na kitambo sana sijamwonaga kabisa!
Huko ulipokuwepo umewaachaje?

Malaria Sugu hebu pitia hapa utujuze ulipokuwepo!

Copy;
chama zomba Rejao Ritz
pamoja na lile group lako!

Kwi kwi kwi kwi kwi kwiiii Malaria Sugu bana!

Mkuu paul milya, Malaria Sugu yuko BANNED toka siku nyingi,ila alikuja na Id mpya inaitwa mauayetusote,akaanzisha mada siasani,Mods wakaikamata hiyo Id na kuiunganisha na ya Malaria Sugu.
RIS Malaria Sugu!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom