India wameshindwa tena kutekeleza operation yao ya kijeshi bila majeraha makubwa kwenye jeshi lao. Ikiwa tayari ni miaka sita imepita toka walipofanya military failed mission dhidi ya Pakistan, India usiku wa kuamkia Leo imefanya tena operation ikilenga vituo vya kikundi cha kigaidi kinachosemwa kufadhiliwa na Pakistan na kilichosababisha kwa makusudi mauaji ya raia ishirini na sita mwezi April 2025.
Pamoja na India kujinadi kwamba imefanikiwa vyema katika operation hii lakini operation hii imeingia madoa kadhaa ikiwemo la kupoteza ndege vita tatu kwa mujibu tovuti ya Bulgarian military.
Huku vyanzo vingine kama huko X Zaman Twitter vikisema ndege tano ikiwemo France made Mirage 2000 zimedondoshwa. Ni ajabu kwamba taifa kama India linalokua kwa kasi kubwa kiuchumi, kijeshi, na kiteknolojia Halina long range bombers kwaajili ya operation hizi.
Matokeo yake yamekuwa ni kushindwa vibaya kwa operation zake ndogo ndogo dhidi ya Pakistan. Ni lazima India iamue sasa kubadilisha mkakati kutoka madege yaongozwayo na binadamu ndani yake iingie sasa kwenye ndege bila rubani ili kuepusha upotevu wa mali na binadamu.
Kwa muda wa wiki mbili India imejipanga kwa operation hii lakini hakuna chochote cha maana kilichosemwa kuguswa mpaka sasa. Wakati tukiendelea kusubiri majibu ya kijeshi ya Pakistan Je hii ni kusema India ni chui wa karatasi?