Mbona humu ni mapenzi tu!

yaani unaweza kufungwa kwaajili ya watu ama sura yako imefanana na mandela...
sijakuelewa ujue.
 

Mandela yupi???kama sura yako sio laini acha tu kujitundika tu maana unaweza pata presha humu
 
Mwee! Umri wako miaka 90 unataka mtoto wa miaka 30 hii si sawa.
**au sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…