Amani ipo pale mmoja katika ndoa yupo calm collected na independent mind .Kwa Sababu ukishajua partner wako mpole mtaratibu utajikuta unabadilika taratibu.Ugomvi Ugomvi Kwenye mahusiano ni Sababu ya power struggle ,temper,controlling.Chagua MWANAMKE mwenye maisha yake na ametoka from stable home na hakuhitaji wewe for her happiness.Kuna WANAWAKE duniani hawawezi Kufurahia maisha bila Mwanaume .Wanaume Kwao ndio usingizi na furaha .Family background muhimu mnoooo( Angalia wazazi wake ni watu gani ,walimpa mapenzi na attention ya kutosha).Ugomvi Kwenye mahusiano yanaweza kukuua kwa magonjwa.Oa MWANAMKE aliekuwa na maisha Kabla hamjaoana ( MWANAMKE mwenye Kwake ,usafiri )Hivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin.....
Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea mapenz.......unampeleka mjengoni mtu unaamkata kata vizuuuuur lakin mwisho wa siku sababu nyingine ya kukera inatokea....ukimuweza huku anakuweza kule,....halafu nilichogundua akishakuzoea tu,na ndio mapenzi yanapoharibikia,mimi nathink sana about hili,hIivi unaweza kuwa na mpenz msizoeane,au mzoeane halafu msikerane......najiua inakugusa na inakuuma,coz umempoteza uliyezan alikuwa perfect kwako.....pasuka tufurah!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
zipo ndoa zina amani na furaha...kukerana kupo ila wanarekebishana kwa upole, unyenyekevu, kwa akili. wanavumiliana na wanasonga mbele
kariku nikupeleke ukaone mkuuBinafsi sijawahi kuiona ndoa kama hii bali wote naona wanavumilia ndoa na sio wanafurahia ndoa
Mademu ni noma. Wanajazana ujinga mwisho wa siku wanaishia uchangu baada ya kuwa evicted from ndoa. Tatizo ni fikra. Wanawake hawana muda wa kufikiri positevely. Wanafikiria negatively na matokeo yake ndio hayo. Negativity is a work of devil. God whatever you think about him is positive. Unfortunately positive does not attract negative.
Wajanja hawaoi, badala yake uwa na wapenzi wakudumu ambao uwazalia watoto kama kawaida. Ndoa ni commitment wakati mapenzi ni feelings, kamwe vitu hivi viwili haviwezi kulazimishwa kuwa pamoja. Feeling ubadirika sambamba na mazingira commitment haiko hivyo. Zamani ndoa zilidumu kwasababu mke alizingatia commitment na sio feelings za mapenzi. Siku hizi ndoa kwa mke ni mapenzi sio commitment, feelings za mapenzi zikipungua umempoteza.
Wakati mwingine siku hizi ndoa inaonekana kama njia halali ya kupata watoto, kwa hiyo hapo sio mapenzi wala commitment bali "Nataka watoto type of feeling", hizo ndo hazidumu na ugomvi ni from day one. Zipo nyingine za kiuchumi zaidi. Hizi mara nyingi mwanamke anakuambia "Kama una nipenda kweli nioe" hali akijuwa kwamba sio kila wanaofunga ndoa wanapendana. Ndoa sio precondition ya true love.
Mwanaume mjanja dunia ya leo haoi badala yake anakuwa na mpenzi anayempenda na kumuheshimu kama ambavyo angefanya kama angeoa. Ndoa zinavunjika kwasababu dunia ya leo imeongeza sababu nyingi za watu kuoana, matokeo yake watu ndani ya ndoa wanakosa sababu ya pamoja ili yo wafanye waoane.
nani kasema hakuna ndoa zenye amani?
acheni hizo bana.. msisemee watu mioyo.
watu tunajilia zetu mema ya dunia... ndoa yako ni vile unataka iwe.. kama wataka iwe uwanja wa mapigano itakuwa.. and the reverse.
...so ujumbe wako ni kuwa watu wasioane ila waishie kwenye uchumba sugu si ndiyo??... Then inamana watu wote walio kwenye ndoa hawapendani bali ni sababu ya commtmnt? How? Hivi unawezaje kuwa commited kwa mtu bila feelings?Bado kukuelewa we MgonjwaUkimwi
Binafsi sijawahi kuiona ndoa kama hii bali wote naona wanavumilia ndoa na sio wanafurahia ndoa
Uandishi wako unaniwia vigumu kukuelewaHivi haiwezekani kuwa na mpenzi mkakaa naye hata miaka mitano bila mis za understandin.....
Uzoefu wangu kwenye mahusiano unatosha kuandaa riport ya PHD,lakini huwezi amini sijayazoea mapenz.......unampeleka mjengoni mtu unaamkata kata vizuuuuur lakin mwisho wa siku sababu nyingine ya kukera inatokea....ukimuweza huku anakuweza kule,....halafu nilichogundua akishakuzoea tu,na ndio mapenzi yanapoharibikia,mimi nathink sana about hili,hivi unaweza kuwa na mpenz msizoeane,au mzoeane halafu msikerane......najiua inakugusa na inakuuma,coz umempoteza uliyezan alikuwa perfect kwako.....pasuka tufurah!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndoa zenye amani kwa mwanaume zipo saud arabia, afghanistan, na sehemu nyingine ambazo tamaa za macho kwa mwanamke zimedhibitiwa. Ndoa yenye amani kwa mwanamke especially wa kiafrika sijui inapatikana wapi.