Nzuri kwa mazao yote inaunguza sana mazao maana ni kali kama urea inahitaji maji mengi ukiweka!
weka kidogo tu kwenye shina.
Mfano ujazo wa kikombe cha chai weka mashina 3hadi tu ukieweka mawili au moja basi uweke kwa umbali zaidi na umwagilie maji ya kutosha.
Huwa inaifanya ardhi ikakamae.
Ni hayo tu nimewahi kutumia