Mbogwe local scouts association

amani peles

New Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
3
Reaction score
1
Chama cha Skauti wilaya ya mbogwe kimewapatia mafunzo vijana na kushiriki mashindano ya Skauti Taifa wakiwakilisha mkoa wa Geita nakufanikiwa kupata ushindi wa kikombe katika nafasi ya tatu kitaifa katika safu ya Rovers scout,Hivyo wanageita tuzidi kuongeza juhudi kwa mafanikio zaidi,for more see photos.
 

Attachments

  • SAM_6040.JPG
    88.7 KB · Views: 59
  • IMG-20160616-WA0001.jpg
    117.8 KB · Views: 47
  • IMG_20171016_162645.jpg
    31.4 KB · Views: 38
  • SAM_5970.JPG
    95 KB · Views: 39
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…