Mbogo, simba, na sasa ACT

@Njano5 a.k.a Dotto C. Rangimoto ni Punguani

HUYU NDIO PUNGUANI, ANA TOBO RASINI.



Nani anita punguani?
Wewe mlala jaani?
Kilaza wa Ufipani,
Zukule la kaskazini

Zukule la kaskazini,
Ndiye hasa punguani,
Una matobo kichwani,
Una wazimu rasini.

Timu ya Ufipani,
Nyota wake nyani,
Mzee wetu Makani,
Akumbukwa si utani.

Slaa wa Kinondoni,
Ni vampaya jamani,
Yu dhaifu kwa Satini,
Muasi wa kanisani

Mi nikiwa Punguani,
Slaa atakuwa nani?
Alokimbia kanisani,
Kwa kushikwa ugoni,

Kwa kushikwa ugoni,
Akakimbia kanisani,
Kazamia bungeni,
Kaibukia Ufipani,

Kaibukia Ufipani,
Huyu Bwana fanani,
Uchumba waisha lini?
Ndoa atafunga lini?

Ndoa atafunga lini?
Au ni TIMU KUZINI?
Tumpeleke Magogoni,
Huyu Padri fanani?

Huyu Padri ni fanani,
Katu si mtu makini,
Tena tusimuamini,
Afadhali ya Nyani.

Wamtaka punguani?
Mwenye matobo rasini?
Alotoka kanisani,
Kaibukia Bungeni

Kaibukia bungeni,
Huyo ndio punguani,
Hana cha mno rasini
Ana matobo kichwani.

Ana matobo kichwani,
Kaacha demuye ndani,
Kaenda zake kuzini,
Kwa kahaba Josefini,

Kwa kahaba Josefini,
Aso na haya usoni
Mwenye mke kabaini,
Kaingizwa mjini.

Hajaenda Magogoni,
Amekuwa firauni,
Akifika Magogoni,
Atakuwa ni Jununi,

Atakuwa ni Jununi
Tena kubwa Maluuni,
Kuzidi Nduli Amini,
Aso faa kanisani.

Aso faa kanisani,
Na pia msikitini,
Mahala pake jaani,
Autimize uhayawani,

Autimize uhayawani,
Atie ndimi puani,
Kama ngo'mbe bomani,
Au mbuzi wa zizini.

Njano5.
0784845394
 

unapoteza muda wako bure,kachukue buk 7 zako upate kwenda msalani!!!!
cdm huiwezi,ni nani atahangaika na huu upuuzi wenu masalia!
 
ACT mnadadhiliwa na nani?kamuulizeni Najib Balala wa mombasa,alitoka ODMakijua amekilamliza ODM mkoa wa pwani au mombasa kumbe ndio kimezidi kuimarika
 
Sikia wewe Rangimoto,ukitaka kujenga chama chako usikashifu Chama kingine,kama ulivyoamua kujitoa huko ulikokuwa mwanzo jenga hoja zako ili watu wakuchague kwa hoja na si kwa kukashifu mtu ambae hajakukosea.Labda kama kuna mtu amekukosea lazima awe CCM kwa sababu ndiyo wanaoongoza nchi,na ndio waliotufikisha hapa tulipo.Kwanza wewe ni kijana mdogo sana matusi kwa mtu aliekuzidi umri ni sawa na kutukana mzazi wako,kwenye jukwaa la siasa tunapaswa kujenga hoja na sio kutukana,heshima ni kitu cha bure kabisa,kwa sababu hapa hakuna mtu atakushtaki ndiyo unaamua kutumia hii fursa vibaya kwa kutukana watu waliokuzidi umri,sio vizuri kabisa.
 

Umevurugwa punguani wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…