Ipi ile chinese spinach jamii ya sukuma week? hiyo nimekula tangu hatujaglobalize na wachina na ilikuwa inaitwa hivyo.
Kwa wanawake waendelee kumanga?Hizi mboga nilisikiaga kitambo hadi watu wakaacha kula ila huku mjini watu wanakula na zinapunguza nguvu za kiume
Kwa wanawake waendelee kumanga?