Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Habari wakuu,

Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa

Maana nikirud home nakua nimechoka sana

Asanteni
Mayai 3 ya buku katia nyanya, kitunguu,karoti,na hoho ukipenda halafa kaanga hapo dakk 3 tu na ugali mkubwa, usisahau kuleta ushuhuda hapa jukwaan
mboga ya yai fasta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…