mkuu hio apps inaitwa tapatalk si jf walotengeneza.
Hawa tapatalk wanadevelop apps then kama una forum yako ya bulletin una submit then ndo inakua kama unavyoona.
Toka mwezi wa 6 mwaka jana walisema wana develop apps ya wp hadi leo naona zzz sjui hata kama imetoka.