J jaycobs Member Joined Jan 11, 2013 Posts 28 Reaction score 0 Jan 14, 2013 #1 Naona kuna JF application ya blackberry ila cioni ya windows phone au hawawez kupiga code zake nn,
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,230 Jan 14, 2013 #2 Ma sie twataka Java!
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,060 Reaction score 43,477 Jan 14, 2013 #3 mkuu hio apps inaitwa tapatalk si jf walotengeneza. Hawa tapatalk wanadevelop apps then kama una forum yako ya bulletin una submit then ndo inakua kama unavyoona. Toka mwezi wa 6 mwaka jana walisema wana develop apps ya wp hadi leo naona zzz sjui hata kama imetoka.
mkuu hio apps inaitwa tapatalk si jf walotengeneza. Hawa tapatalk wanadevelop apps then kama una forum yako ya bulletin una submit then ndo inakua kama unavyoona. Toka mwezi wa 6 mwaka jana walisema wana develop apps ya wp hadi leo naona zzz sjui hata kama imetoka.