Madame S, hii ni kwa wote na mbaya zaidi kwa mwanaume, how come unang'ang'ania kuhakikishiwa SEX na mwanamke ambaye hujawahi kumuona na ana shida. Hili lijamaa litakuwa linaweza kubaka. Halafu linapenda vibudu. Na kinachoniboa zaidi ni picha inayojengwa na watoto waliomo humu JF hasa wa kike, wasijedhani sex ni moja ya requirement kwenye kupata kazi. NOOOOOMy dear sometimes inabidi tuseme na shida zetu bwana unakubaliaje kuvuliwa chupi kitu hulijui huna hata hisia nae just for the sake of job aiii haiingii akilin hata kidogo Ni ujinga kukubali kujuvua utu Wako msimamo Tu ndo Una matter sana
Madame S, hii ni kwa wote na mbaya zaidi kwa mwanaume, how come unang'ang'ania kuhakikishiwa SEX na mwanamke ambaye hujawahi kumuona na ana shida. Hili lijamaa litakuwa linaweza kubaka. Halafu linapenda vibudu. Na kinachoniboa zaidi ni picha inayojengwa na watoto waliomo humu JF hasa wa kike, wasijedhani sex ni moja ya requirement kwenye kupata kazi. NOOOOO
Kweli kabisa. Halafu yule dada alionekana kulainika katika majibu yake, na hicho kikamfanya jamaa azidi kukaza kamba. Kama siyo hitilafu ya kitu fulani, inaonekana wangebanduana. Msimamo muhimu sana. Vinginevyo ni majanga.
Hilo jamaa jinga sana, hayo wangeyamaliza huko huko. Mijitu mingine inakera sana.
Niliposoma ile thread mwanzo sikuelewa baada ya kuona screen shots za strong woman sio Siri nikabaki najiuliza mbona huyu dada aliyataka mwenyewe kwa maana jua ameshantengenezea jamaa mazingira kua if kazi yes bas atampaa zawadi halaf anasema mchumba WA mtu ndo anabehave kama nini sjui all I can see from her she is very cheap na nachoona kwa wotee wanamakosaa na hatua stahiki zichukuliwr ili iwe fundisho next time wajifunze kubehave kama watu wazma private Ni private sio kuweka public kuvuana nguo hadharani
Wanatuogopesha sasa tusiwe tunachat huko pm lol
Ngoja nije PM
wanatuogopesha sasa tusiwe tunachat huko pm lol
Hahahhha nimecheka kanyimwa mzigo akakimbilia kurepot halaf kibao kikamgeukia hahahahhha pole yake
Hahahahaha! Jamaa ali-panic, akaanzisha thread mbili kwa mpigo. Kumbe kunyimwa kubaya jamani