Lameckjr Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 133 Reaction score 259 Mar 28, 2021 #1 Wadau habari zenu!! Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!! Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!! Asante
Wadau habari zenu!! Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!! Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!! Asante
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,999 Reaction score 61,236 Mar 28, 2021 #2 Hakuna kitu hapo nimesubirigi kuitwa kimya karibia mwaka na NUSU sasa
Lameckjr Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 133 Reaction score 259 Mar 28, 2021 Thread starter #3 Hawa jamaa watakuwa wanatafuta followers kwenye mitandao kupitia kutangaza ajira Kumbe in reality ni wababaishaji
Hawa jamaa watakuwa wanatafuta followers kwenye mitandao kupitia kutangaza ajira Kumbe in reality ni wababaishaji
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,277 Mar 28, 2021 #4 Wenye vigezo huwa wanaitwa.
Lameckjr Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 133 Reaction score 259 Mar 28, 2021 Thread starter #5 Ishu sio kuitwa kwa ajili ya interview Ishu walioajiriwa kupitia vipaji
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,611 Reaction score 127,998 Mar 28, 2021 #6 Mwinajr25 said: Wadau habari zenu!! Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!! Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!! Asante Click to expand... Inaonekana utakuwa hauna Kipaji Mkuu.
Mwinajr25 said: Wadau habari zenu!! Kutokana na changamoto ya ajira nchini kwetu kumekuwa na wimbi kubwa la watu au mashirika yanajiita jobs recruiters!! Hoja yangu naomba kuuliza humu kama kuna mtu ameshaajiriwa kupitia jobs recruiters wanaoitwa Vipaji link!! Asante Click to expand... Inaonekana utakuwa hauna Kipaji Mkuu.
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Mar 28, 2021 #7 Hamuna vipaji musilalamike batoto ba soso
K Kitwego Member Joined Mar 2, 2021 Posts 14 Reaction score 13 Mar 29, 2021 #8 Chenga sana hao jamaa, nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufanyiwa interviews Kama nne ya position moja,tulianza tukiwa candidates 8,wakachujwa nikabaki mmoja,nikaambiwa nitapigiwa simu ili nipewe mkataba,mpaka leo sikuwahi kupokea simu yao.
Chenga sana hao jamaa, nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufanyiwa interviews Kama nne ya position moja,tulianza tukiwa candidates 8,wakachujwa nikabaki mmoja,nikaambiwa nitapigiwa simu ili nipewe mkataba,mpaka leo sikuwahi kupokea simu yao.
Lameckjr Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 133 Reaction score 259 Mar 29, 2021 Thread starter #9 Ishu sio kuitwa kwa ajili ya interview Ishu walioajiriwa kupitia vipaji
Lameckjr Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 133 Reaction score 259 Mar 29, 2021 Thread starter #10 Prognosticator said: Inaonekana utakuwa hauna Kipaji Mkuu. Click to expand... Unazungumzia kipaji kipi in relation na kazi za hawa watu
Prognosticator said: Inaonekana utakuwa hauna Kipaji Mkuu. Click to expand... Unazungumzia kipaji kipi in relation na kazi za hawa watu