Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Mahakama kuu kanda ya Shinyanga inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jumanne Kshimba kupitia CCM iliyofunguliwa na mgombea wa CHADEMA Ndugu James Lembeli.
Hivi sasa najiandaa kuelekea eneo la tukio kwani kesi hii imekuwa na mvuto wa aina yake ikigusa jamii hasa kutokana na hamasa ya mashabiki toka pande zote mbili hapo mahakamani.
Ndugu wadau kaeni mkao wa kula kwani mtoa habari wenu ntawajuza kila kitu kitakachojiri hapa mahakamani.