Najaribu Kufanya Upembuzi yakinifu wa Historia ya Uraus kwa nchi mbili za Malawi na Zambia
Rais wa Kwanza wa Malawi ni Hans Kamuzu Banda, wa Zambia ni Keneth Kaunda (inasermekana wote wana asili ya Malawi)
Baada ya Banda alifuatia Bakili Muluzi, Kwa Zambia akafuata Chiluba Fredrik mabaye alibadili Katiba kumwambia KK arudihswa vitu vyote alivyovipata akiwa Rais wa ZAMBIA
Bakili hatimaye alimteua Bingu wa Mutharika, ilihali Chiluba alimuibua Levy Mwanawasa
Bingu wa Mutharika alijua kumgeuka Bakili Muluzi, ilihali Levy Mwanawasa alimgeuka Chiluba
Bingu, Chiluba na Mwanawasa wote ni Marehemu
Baada ya Levy kufariki, alifuata Rupia Banda (inasemekana ana linage ya Banda the I wa Malawi) kama Rais wa Mpito nchini Zambia ambaye aliangushwa kwenye uchaguzi na Michael Sata, Baada ya Bingu ameshika Joyce Banda kama Rais wa Mpito