Ndugu zangu watanzania ,has a wana LUDEWA msifanye kosa la kutomchagua Mh.DEO FILIKUNJOMBE ni miongoni mwa MPs wachache ktk JMT ambao wameleta mchango mkubwa sana katika jamii hususani kushiriki na kuchangia shughuli za maendeleo !!
Namlinganisha na wabunge wengine kuntu anastahi kuwa Mp ,ndg wanna jamvi haimaanishi hakuna wengine wanaofanya vizuri ila kwa mtazamo wangu mh.huyu anastahili kupigiwa mfano,kila kheri kwenye mbio za Oct.Hon Deo.