Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,415
- 25,946
CDM ni Chama chenye nguvu sana nchi Zambia.Jiwe gizani au..
MkuuUna maanisha CCM haijafikia kufanya uliyoyaandika au unaongea kwa kwenda mbele na kurudi nyuma.
If you want to Kill, KILL don't talk.
Usinichonganishe na serikali yetu mkuuHapa umeizungumzia Tanzania kabisa. Nisiposema nitakuwa mnafiki!
Pia WADANGAJI wa vyama vya siasa Kama Lijualikali na wenzakeKwa Tanzania mchawi wa vyama vya upinzani yuko ndani ya vyama vyenyewe na wala hatoki nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo.
A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi.
B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
C. Kutumia mihimili mingine kukandamiza upinzani
D. Kununua wapinzani na kuonekana kuwa chama tawala kinakubalika
E. Kuvuruga chaguzi kubaki madarakani
F. Kutengeneza vyama mbadala vya kupambana na vyama halisi vya upinzani
G. Kutumia mali za umma na vyombo vya dola kubaki madarakani
H. Kuweka sheria kandamizi ili kunyang'anya uhuru wa mawazo, habari na haki nyingine za binadamu.
Ni jambo la kushukuru kwamba CCM hawajafikia hatua hizo. Tuendelee kuwaombea wabaki kwenye right track kuelekea kuifanya nchi yetu kuwa dona kantree
Kwahiyo unamaanisha kumbe Chadema.....!?Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo.
A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi.
B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
C. Kutumia mihimili mingine kukandamiza upinzani
D. Kununua wapinzani na kuonekana kuwa chama tawala kinakubalika
E. Kuvuruga chaguzi kubaki madarakani
F. Kutengeneza vyama mbadala vya kupambana na vyama halisi vya upinzani
G. Kutumia mali za umma na vyombo vya dola kubaki madarakani
H. Kuweka sheria kandamizi ili kunyang'anya uhuru wa mawazo, habari na haki nyingine za binadamu.
Ni jambo la kushukuru kwamba CCM hawajafikia hatua hizo. Tuendelee kuwaombea wabaki kwenye right track kuelekea kuifanya nchi yetu kuwa dona kantree
Magufuli ni rais pekee ambaye licha ya Ukristu wake amefanikiwa kutengeneza urasimu serikalini kwa kuanzisha Tume pamoja sekta pendwa ya kujenga Tarura na kutengeneza ajira rukuki..
Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo.
A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi.
B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
C. Kutumia mihimili mingine kukandamiza upinzani
D. Kununua wapinzani na kuonekana kuwa chama tawala kinakubalika
E. Kuvuruga chaguzi kubaki madarakani
F. Kutengeneza vyama mbadala vya kupambana na vyama halisi vya upinzani
G. Kutumia mali za umma na vyombo vya dola kubaki madarakani
H. Kuweka sheria kandamizi ili kunyang'anya uhuru wa mawazo, habari na haki nyingine za binadamu.
Ni jambo la kushukuru kwamba CCM hawajafikia hatua hizo. Tuendelee kuwaombea wabaki kwenye right track kuelekea kuifanya nchi yetu kuwa dona kantree
Mi naona Kama vile we haujui wanachokijua ndio maana hata huenda ukawa unaandika ambacho we haukijui ila haujui Kama unakujua au haukijui ila umeandika tu..😅CDM ni Chama chenye nguvu sana nchi Zambia.
Ili kuamini hili, angalia inavyoandamwa na
1. Jeshi la Polisi
2. SSM
3-Wakurugenzi
4. Vyama vya upinzani vinavyotumiwa (NSSR)
5.Dola
Ongezea vingine, Kama bado vipo!!
Waje waige mifano imara ya CCMWafanyao haya hawata ingia peponi..
Chadema imefanyaje ?Kwahiyo unamaanisha kumbe Chadema.....!?