#COVID19 Dawa mbili zapendekezwa kutumika kutibu wagonjwa wa corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wameitaja Dawa ya Baricitinib kutumika kutibu Wagonjwa mahututi wa COVID-19 na dawa ya Sotrovimab kutumika kwa walio na Corona isiyo kali

Dawa hizo zimependekezwa baada ya kupata matokeo ya majaribio saba yaliyohusisha watu 4,000 waliokuwa na maambukizi ya Virusi hivyo

Dunia imeendelea kuhangaika na janga la Corona huku utoaji chanjo ukiendelea ili kudhibiti kasi ya maambukizi

=======

WHO has recommended two new drugs for COVID-19, providing yet more options for treating the disease. The extent to which these medicines will save lives depends on how widely available and affordable they will be.

The first drug, baricitinib, is strongly recommended for patients with severe or critical COVID-19. It is part of a class of drugs called Janus kinase (JAK) inhibitors that suppress the overstimulation of the immune system. WHO recommends that it is given with corticosteroids.

Baricitinib is an oral drug, used in the treatment of rheumatoid arthritis. It provides an alternative to other arthritis drugs called Interleukin-6 receptor blockers, recommended by WHO in July 2021.

WHO has also conditionally recommended the use of a monoclonal antibody drug, sotrovimab, for treating mild or moderate COVID-19 in patients who are at high risk of hospitalization. This includes patients who are older, immunocompromised, having underlying conditions like diabetes, hypertension, and obesity, and those unvaccinated.

Sotrovimab is an alternative to casirivimab-imdevimab, a monoclonal antibody cocktail recommended by WHO in September 2021. Studies are ongoing on the effectiveness of monoclonal antibodies against Omicron but early laboratory studies show that sotrovimab retains its activity.

The panel of experts developing the guidelines also looked at two other drugs for severe and critical COVID-19: ruxolitinib and tofacitinib. Given their uncertain effects, WHO made a conditional recommendation against their use.

Today’s recommendations, forming the eighth update of WHO’s living guidelines on therapeutics and COVID-19, are based on evidence from seven trials involving over 4,000 patients with non-severe, severe, and critical COVID-19.

WHO is in discussions with manufacturers to secure global supply capacity and equitable and sustainable access to the newly recommended therapeutics. The Access to COVID-19 Tools Accelerator (ACT-A) Therapeutics pillar has been engaging with pharmaceutical companies to seek comprehensive access plans for low- and middle-income countries, so that these treatments can be rapidly deployed everywhere, not just in rich countries. The ACT-A is also looking to expand licensing scope to make the products more affordable.

The two newly recommended drugs - baricitinib and sotrovimab - have been invited for WHO Prequalification, which assesses the quality, efficacy and safety of priority health products to increase access in lower income countries.

Source: WHO recommends two new drugs to treat COVID-19
 
Afrika tupo busy kupigana majungu tuu ili kupata Urais na huku ni supika tayari mwingine ana cheo tayari anataka cha juu zaidi bila kuachia kile kingine...
 
Kwahiyo Mkuu Wakati Serikali Inahimiza Nyungu Na Maombi Hukuwepo!! Hilo Ni Pepo Tutalishinda Kwa Maombi Haa
Ndio ushirikina wenyewe huo,
Dunia ni sayansi tuishi na kutenda kisayansi maisha ni rahisi sana,
Vinginevyo tunajibebesha mizigo na kujichosha bila sababu😂
 
Ndio ushirikina wenyewe huo,
Dunia ni sayansi tuishi na kutenda kisayansi maisha ni rahisi sana,
Vinginevyo tunajibebesha mizigo na kujichosha bila sababu😂
😃😀😄😁😁😆😆😅😂🤣🤣😅😅😆😄😃
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghosha
Mabeberu Hayatupendi
Vita Vya Uchumi Ni Mbaya Sana
 
Back
Top Bottom