Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jul 23, 2012 #1 Kwetu usukumani watu hualikana kwa zamu kulima shamba la kila mmoja.Ili kupeana motisha,watu hupewa pombe na nyama ya kutosha.Kule kwa wakurya watu hupewa nyama choma na BANGI ya kutosha kama motisha.
Kwetu usukumani watu hualikana kwa zamu kulima shamba la kila mmoja.Ili kupeana motisha,watu hupewa pombe na nyama ya kutosha.Kule kwa wakurya watu hupewa nyama choma na BANGI ya kutosha kama motisha.