Mbinu yangu yaelekea kufanikiwa

Mbinu yangu yaelekea kufanikiwa

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
247
Reaction score
229
Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu zinazohusu mtoto kitu ambacho sikuridhika nacho

Nlichokifanya nilimpigia simu mama mtoto nakumuulizia hali ya mtoto kwa upole baada ya kujibu hajambo nkarusha hera kubwa kidogo nkamuambia mnunulie maziwa alafu nkakaa kimya siku mbili yatatu kanchek mwenyewe baada ya salamu nkamrushia tena kijiheraaa Jana nimemuambia jumamosi aje nnapoishi na mtoto nimuone kakubali bila kipingamizi
 
Mkuu lengo lako kubwa lilikua kuongeza ukaribu wako na mtoto?
Huyo Mzazi mwenzie alikuwa mchepuko wake na ameshaolewa.

Shida ni kwamba ana wivu sana na mchepuko ila anasingizia kumuona mwanae.

Ameshapewa warning lakini hasikii.

If he is genuine angemshirikisha mke wake katika hilo jambo na pia Mume huyo wa mchepuko. Sio kupanga discreet appointments.

Huyo nae mchepuko akikubali kuyumbishwa na vijisenti ataachika abaki macho juu kama hivi 👉🙄🙄🙄🙄
 
Ndio inaezekana ikawa ivi bado anampenda ila anatumia janja ya mtoto ndo mana ikabid nmuulize sabu kwann utumie nguvu sabu aliambiwa kuulizia ishu ya mtoto co tatizo anaeza uliza tuu 😅😅😅😅 kweli kuoa mke alie na mtoto ni kurisk danger sana ukubali kua mtakula wawili
 
Huyo Mzazi mwenzie alikuwa mchepuko wake na ameshaolewa.

Shida ni kwamba ana wivu sana na mchepuko ila anasingizia kumuona mwanae.

Ameshapewa warning lakini hasikii.

If he is genuine angemshirikisha mke wake katika hilo jambo na pia Mume huyo wa mchepuko. Sio kupanga discreet appointments.

Huyo nae mchepuko akikubali kuyumbishwa na vijisenti ataachika abaki macho juu kama hivi 👉🙄🙄🙄🙄
Yote yanaeza tokea mkuu sabu alikatazwa na mwenye mke nachokiona co tu uyo hawala kuachika pia uyu MZEE WA FACT nae anaeza ishia kupakwa mafta hii ishu
 
Umepewa mbinu na unafanikiwa,Ila usimkule kwa kuwa so mkeo kwa sasa,Kama ishu ni mtoto,inatakiwa utafute nduguyo wa kike,aende pale akamchukue mtoto wewe ukae mbali na hapo umsalimie au ukae naw hata nusu saa au saa moja then ndugu yako was kike ameudishe mtoto kwa mama yake.
Kiustaarabu,Kama wataka bandua aliekuwa mpenzi wako poa,Ila jamaa akigundua anamtema mazima huyo manzi wako wa kitambo,na wewe huwezi mrudia tenA.
Kuna jamaa yangu kaoa single Maza Kama hivyo akiwa na mtoto wa darasa la tano wa kike.
Ila na yeye kashazalisha watoto wake2 tayari,kwa huyo singi Maza.
Jamaa anasema Mimi Sina presha Wala simfuatilii,Basi huyo shemeji yetu ndo Ana wivu balaa kuhusu jamaa.
 
We jamaa acha uharibifu akiachwa wewe utamchukua?
Hivi mama wa mtoto wako akiwa mdangaji unategemea mwanao aweje?
 
Kama huna mpango naye usitafte sababu ya kumharibia mahusiano yake mpya.

Maana sisi wanaume tuna tabia mtu huna time naye akianza mahusiano mapya unataka yaharibu na wao walivyo vilaza wanakubali yaharibike
 
pesa pesa, mwanamke hawezichomoa hapo
jilie vilivyo vyema
 
Hapo naona unapambania mtoto na penzi la mama mtoto. Hongera sana mkuu. Usisahau kutupa mrejesho wa kitakachojiri baada ya kufika mjengoni. Pia mrejesho wa bwana wake akishtukia mawasiliano yenu ya kukutana gizani...😛
 
Back
Top Bottom