Ukitazama kwa umakini utagundua kuwa hakukuwa na sababu za msingi za kumkamata John Wegesa Heche.
Sasa sababu ni nini?
Wanatamani maandamano madogo ili kukwepeaha yale makubwa. Tusikubali .
Jamaa kama kuna kitu wanaogopa ni maandamano ya pamoja ya Tanzania nzima ,lengo lao wapate kamaandamano kadogo kisha watoke kipigo cha mbwa mwizi kitakachowaongezea hofu waandamanaji wa 29_10_2025 .
Wamejaribu mengi na Kuna mengi tuyatarajie lakini hayatafanikiwa, ndiyo maana wameona bora wamkamate Heche ili watu wakijitokeza wadeal nao kwa uzito wa kipigo cha mbwa mwizi , wazee tulieni, huyo hata wakitaka wakae nae ili wamuondolee sababu (maana hawakawii kuja kumuhusisha na yatakayotolea 29_October_2025 siku ambayo tunakwenda kumaliza nao
Hivyo viaskari vyao vigonjwagobjwa msiwaze ,tunakazi navyo hivyo tunakwenda kuvipaka mafuta hadharani na Dunia itaona.