Mbinu na uchambuzi kuhusu RS Berkane

Mbinu na uchambuzi kuhusu RS Berkane

Mributz

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
257
Reaction score
629
Jana niliwafatilia RS Berkane katika mechi yao ya Ligi Kuu ( Botola Pro ) vs Maghreb Fez , nilipata angalau 50% ya kufanya tactical analysis

✍🏻RS Berkane wapo well oiled machine
✍🏻Utimamu wa mwili & Energy ya kutosha ( hasa hasa katika electric counter attacks and possession ball )
✍🏻Ruthless ( wakatili sana golini )
✍🏻Wafanisi sana kiwanjani : RS Berkane wale FBs zao wanapelekea role to the next level

1: Pia kuna nyakati kocha wao alikuwa anatupa watazamaji kuifundi kuwa fullbacks kuwa midfielders plus muundo mzuri wa ulinzi ( Better rest defense )

2: Kitu nilichopenda zaidi ni kuwa wana wastani mzuri wa kufunga bao kwa kila mechi , yani kila mechi wanaweza kupata goli 2 hadi 3 lakini sio mechi zote lakini 89% wamepata magoli mengj katika mechi zao

3: Simba ni mzuri katika possession ball ( hasa hasa katika one touch football ) , wale RS Berkane wana making ya chini sana katika actions hiyo na hufanya sana faulo katika maeneo hatari karibu na boksi lao ( fursa mzuri kwa Simba : ball striking and set pieces )

Kuelekea mechi ya fainali ya Shirikisho Afrika , Simba SC inatakiwa kuwa makini zaidi kwasababu RS Berkane ni katili sana kwa opponent wake ( na haileti picha kuwa RS Berkane hawatokuwa makini dhidi ya Simba SC)

Football haina guarantee , yoyote anaweza kupata matokeo chanya uwanjani lakini ikiwa Simba atakuwa sloppy na hana energy ya kutosha ( Physical ) , kwake itakuwa kila la kheri na anaweza kuokota hata 2 , 3 , 4 easily .
 
Back
Top Bottom