Mbinu mpya za kujisafisha

Mbinu mpya za kujisafisha

RIP SSM

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
20
Reaction score
3
Si muda mrefu tangu nirud nyumban kwa mapumziko.
Wakat huo huo mbunge wangu Mh.Mwakyembe naye yuko mapumzikon huku jimbon kwake ambako amekuwa akija ktk vpnd vya mwishon mwa mwaka pekee.
Mpaka sasa,miaka 8 ndan ya mjengo ahad yake kubwa ya kujenga barabara itokayo Njia panda ya Tenende mpaka Matema beach haijakamilika.Imejengawa kpande cha km 3 wakat ni barabara ya km kama 25 hv.
Amekuja na mkakat wa danganya toto wa kugawa pkpk na baiskel kwa vjana na mapesa meng meng.
Ahad zake zote ni hewa mpaka sasa,miaka 2 imebak,kajipima na kutambua kuwa aliowadanganya wana macho.
Kwa sasa vjiwe vya vjana hapa mjin ni habar za muheshimiwa tu,kagawa pkpk 1 kwa vjana 20.Afanyayo sasa wala hakuyahaid,maendeleo ya baiskel!!!!,mwaga chumv,sukar na vtenge kwa akina mama.
Muheshiwa karud na njia mpya ya kurud mjengoni.
 
Huna hoja vijana wanasema umebugi meeeeeen!
 
Kusema mbunge ndie mwenye jukumu la kujenga barabara ni kutojua majukumu ya mbunge
 
Kugawa pikipiki kwa vijana na kuandaa ligi za mipira vijijini ndio mbinu ya wana ccm kudanganya wananchi
 
Mwakyembe peke yake ni sawa na wabunge 20 wa kiume wa chadema..
 
Leo mnyika amehutubia walevi pale mataa ya ubungo, watu wenye akili timamu wamempuuza. Heri mwakyembe anayegawa pkpk km njugu
 
mtazidi kutandikwa mboko za mgongo sana watembea na sumu nyie. Wabunge wa ccm wanawaletea wananchi maendeleo nyie mnamwagia watu tindikali
 
Kugawa pikipiki kwa
vijana na kuandaa ligi za mipira vijijini ndio mbinu ya wana ccm
kudanganya wananchi

mbona nyie cdm mmemwaga pikipiki kibao kule arusha? cha ajabu kitu gani alichofanya mwakyembe?
 
Si mnadanganyika??sasa kumbe yeye afanye nini kama si kuendelea kuwalaghai??
Akia tena 2015 mpeni kura tuh,kwani anaumia nyinyi au anaumia yeye?watu gani hatujitambui sisi..!!!
 
Mwakyembe peke yake ni sawa na wabunge 20 wa kiume wa chadema..

hapana Mkuu, Mwakyembe peke yake anatosha kukabili viongozi, wabunge, wanachama na wafuasi wote wa cdm. wenyewe wanamgwaya
 
Si mnadanganyika??sasa kumbe yeye afanye nini kama si kuendelea kuwalaghai??
Akia tena 2015 mpeni kura tuh,kwani anaumia nyinyi au anaumia yeye?watu gani hatujitambui sisi..!!!

mnajitahidi sana kumchafua lakini hachafuki. ameshindwa lowasa pale na pesa zake na sumu zake mtaweza nyie wahuni tu?
 
RIP SSM wewe unachuki na CCM na hasa Mwakyembe, km hammtaki acheni ataenda Jimbo lolote na ata[pita tu, hakuna mjinga atakayempinga kwani Bajeti hapangi yeye ni Wabunge wote hata wa Vyama vya upinzani
 
Last edited by a moderator:

Nimchafue ili ninufaike na nini??akichukua lowasa au akichukua yeye tofauti ni nini??
Wajinga kama wewe siku zote ndio waliwao???mtacheza ngoma msizozijua hadi mnaingia makaburini na vizazi vyenu,kama mna laana flan ivi wadanganyika...
 
Leo mnyika amehutubia walevi pale mataa ya ubungo, watu wenye akili timamu wamempuuza. Heri mwakyembe anayegawa pkpk km njugu

mbona unalopoka kachangie mada ya mnyika ipo kule apa ni mwakyembe anaeirudisha kyela nyuma badala ya kuipeleka mbele
 
mtazidi kutandikwa mboko za mgongo sana watembea na sumu nyie. Wabunge wa ccm wanawaletea wananchi maendeleo nyie mnamwagia watu tindikali

huku anapaina kama jehanamu pa moto mno, hatutaki ujinga wanakyela aende uko alikokia mwanzo saivi mwakyembe anapambana kuiludisha kyela nyuma hatumtaki
 
Mkuu anajijua hana chake mkuu hapa kyela sio wajinga kama sehemu nyingine
Si mnadanganyika??sasa kumbe yeye afanye nini kama si kuendelea kuwalaghai??
Akia tena 2015 mpeni kura tuh,kwani anaumia nyinyi au anaumia yeye?watu gani hatujitambui sisi..!!!
 
Mwakyembe anapambana kulilusidja nyuma bei za mazao muhimu hapa kyela mpunga na kokoa wajinga ndo watampokea huko kwingine

Back
Top Bottom