Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,461
- 271,992
mnajitahidi sana kumchafua lakini hachafuki. ameshindwa lowasa pale na pesa zake na sumu zake mtaweza nyie wahuni tu?
tatizo lenu ni kwamba kila anayehoji utendaji wa Mwakyembe jimboni kyela basi ana uhusiano na mafisadi ! How comes ? Mafisadi haiwezi kuwa kinga , lazima tutamng'oa tu , na tutaing'oa ccm yote bila huruma , liwalo na liwe ! Hakuna msafi ndani ya ccm .