[emoji23] [emoji23] [emoji23]pia kuna wale wezi wa waume za watu, wanakuja wakiwa na nguo za kuonesha maungo yao!
ANGALIZO,
Mume tembea na mke wako!
Umenifanya nichekepia kuna wale wezi wa waume za watu, wanakuja wakiwa na nguo za kuonesha maungo yao!
ANGALIZO,
Mume tembea na mke wako!
Wanatafuta namba za simu kwa mbinu zote na kuwaita nipo free tunaweza kutana [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]pia kuna wale wezi wa waume za watu, wanakuja wakiwa na nguo za kuonesha maungo yao!
ANGALIZO,
Mume tembea na mke wako!
Hahahaaapia kuna wale wezi wa waume za watu, wanakuja wakiwa na nguo za kuonesha maungo yao!
ANGALIZO,
Mume tembea na mke wako!
*DUUUUU*pia kuna wale wezi wa waume za watu, wanakuja wakiwa na nguo za kuonesha maungo yao!
ANGALIZO,
Mume tembea na mke wako!
Mtaa wenu wa mazoba! Janaume unachukuliwa simu alafu unakenua!Wezi wenu wastaarabu yani wanakufunika na ndoo? njoo huku madongo kuinama ucheze vitasa, mapanga na simu wanachukua kilaini na kelele hupigi.
[BALAAA]Wiz wakati wa kununua mbao ukienda nunua mbao kabla ya kupimiwa mbao ili ununue kagua futi ya kupimia
Mara nyingi wanakuwa na fut zao za kuunga unga yani ikitoka 1,2 baada ya kufuata 3 fut zao zinafuata na 6 au 7 hapo kuna kama fut 3 au 4 umeshaibiwa.
Na walivyo wajanja wanakuweka mwishon mwa mbao kumbe huku mwanzon unaliwa tu.
Yamenikuta haya pale kimara kwa msuguri kuweni makin pona pona yangu fundi alipo kuja baada ya kumwambia mbona hesabu uliyo nipa ni ndogo huku wananipa hesabu kubwa!!
Fundi alinipa hesabu ya laki 4 wao wakafika laki 6 pumbavu sana hawa nawajua vizur mpaka dukani kwao nilitaka kuwaaribia kwa bos wao sema walinitoa kidogo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo dar huwezi kuwa makini na kila kitu, kuna mahali watakupata tu tena kijinga!Wiz wakati wa kununua mbao ukienda nunua mbao kabla ya kupimiwa mbao ili ununue kagua futi ya kupimia