Mbinu mpya ya kutafuta wateja.

alafu inaelekea hawa waganga elimu hamna angalia hata miandiko yao

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Sisi ukijifanya mjuaji tapele sijui nani lazima tukuundie ligi kwa gharama yoyote tukikutia mikononi umeisha utajuta kutapeli
 
alafu inaelekea hawa waganga elimu hamna angalia hata miandiko yao

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
Sasa si ili uamini ni babu wa kijijini haswaa.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Tapeli kila siku anatafuta mbinu mpya
 
Siku nyingine uniite akipatikana mwingine, mimi kiboga nakula siku moja moja[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumiwa hii text na huyu ambaye bila shaka ni witch doctor..

Sent from my Phillips Savvy using JamiiForums Mobile App.
Haaa..aaa aseee nilijua ni mm tuu kudadadeekii toka mwaka jana mwanzoni nilisha mchimba biti asikii daaah ngoja nitaziweka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…