Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

ccm hata waje na mikakati ya aina gani ... Wananchi wameamua tayari .. Mwaka huu lazima wang'olewe ... Hakuna namna tena ...
mkiambiwa kuwa chama cha upinzani ni chama kisicho takiwa kupokea mafisadi na kuwapa nafasi, nyie mkajifanya jeuri zaidi, gangwe zaidi mkawakaribisha kwa mbwembwe zaidi na kuwapuuza waadilifu kwa hongo ni kuwanyima tu kura na kumchagua anna mgwira wa act wazalendo maana hamna namna nyingine..tumechoka sasa.
 
Hao pipo unaowasema na kutuaminisha ndio hawa wanakinzana kila kukicha au unamaanisha hawa vijana wa boda boda na wengineo. sawa mnyetishaji wetu.

Pembe tatu ya utajiri wa Tanzani a umekalia kitako,lengo ni kufanya pembe tatu ya ukuaji wa kipato ikalie kitako badala ya ncha ili ule usemi wa wengi wape ukamilike.
Tutampigia kura Lowasa kwasababu ametuahidi hivyo
 
huna unalojua aunt kapumzike tu.
 
Pembe tatu ya utajiri wa Tanzani a umekalia kitako,lengo ni kufanya pembe tatu ya ukuaji wa kipato ikalie kitako badala ya ncha ili ule usemi wa wengi wape ukamilike.
Tutampigia kura Lowasa kwasababu ametuahidi hivyo

Pole sana Lowassa huyu huyu ambaye hata kuandika hawezi? sawa... lets wait 'n see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…