Ni a very complex technique imetumika ili kuhakikisha hafi mtu. wengine hawana muda wa huu upuuzi.., unakula risasi ya kichwa wanaondoka na mzigo. Big up kwa kutotoa roho ya huyo dada. ila bado mwenye uwezo atawaadhibu kwa mlichofanya.Mbinu nzuri 7bu wanakuachia roho yako
Bank Tellers wana husika, Serikali ilazimishe wavae vitambulisho vyenye majina yao ili mtu akiibiwa kwa mtindo huo aweze kumtambua mhusika na mawasiliano yake yaweze kufuatiliwa
unataka kusema humo benki kuna mtu alimwamini na kumwambia "nimekuja kuchukua milioni mbili, na pale nje nimekuja na noah"!!! hii story huenda ni ya uwongo au imeongezwa chumvi, mfanyakazi wa benki akiamua kucolaborate na wahalifu anafanya hivyo kwa pesa nyingi, siyo milioni mbili!!!!!! no wonder Ufoo alikosa msaada wa gari akaonewa imani na bodaboda sababu ya kutishana hivihivi. Muhim ni kuwa makini tu, wewe mtu ameshikwa na uchungu anakuja kusubiri gari imepark kattini hajasimamisha zilizo barabarani tayari?!
Mkuu nadhani wewe ndo ukikutana na wajanja utaibiwa hata soksi uliyovaa na ustambue.Hzo nı technique simpo kabsa.Wana mchongo na teller na wanawasiliana kwa namna nyngi au signs.Teller anaweza kumuuliza kwa sautı akishaona kinafaa kuibwa,"UNATOA SHS NGAPI?"Kuna mpambe jirani alıshamwona toka anaingia.Mtandao unaendelea,wanawasiliana na wenzao nje.
Hivi mpaka leo mnapanga foleni bank kuchukua hela pamoja na hizi simbanking zote?labda waniibie wakati naenda lipa ada za machalii zihitajizo hard copy payment receipt.
Bank Tellers wana husika, Serikali ilazimishe wavae vitambulisho vyenye majina yao ili mtu akiibiwa kwa mtindo huo aweze kumtambua mhusika na mawasiliano yake yaweze kufuatiliwa