Mbinu mpya siasa chafu

Mbinu mpya siasa chafu

vonteper

Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
24
Reaction score
9
Katika harakati nzima za CCM kuelekea Oktoba 25 wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanawaaminisha watu juu ya mambo kadhaa yakiwemo haya.

1.Wanaimani na pombe katika kuisaidia Tanzania, hii inaonyesha miongoni mwa timu ya mafisadi hamna mtu mwingine wangeweza kumwendesha ila John tuu, hebu fikiri kama wangemchagua mtu aliye jawa na jazba juu ya kutumia utu wake kunusuru jina la Rais.

2.CCM wanajaribu kuuficha uhalisia wa hali iliyopo sasa ndani ya chama na wafuasi wake.Wakiwaaminisha kua bado hali iliyopo sasa ni sawa na ile ya Nyerere.

3. Wanafeki wingi wa watu ili waweze kupa urahisi wa kufunga lile goli wanalo taka, goli la mkono alilosema ndugu yao.

4. Wale wanaoamini CCM haijalala bali imekufa wanawachafua kwa kashfa nakuonnyesha wanakisafisha chama kuna kundi linalo amini CCM imelala itaamka ila wale wanaosoma alama za nyakati wamesha tambua msiba mkubwa iunaoendelea kwa sasa.

5.Kwa uandikishaji wa wapiga kura wanafanya kwa viwango na ubora hasa maeneo wanayojua ni CCM nyumbani kwa maeneo yenye kambi pinzani wamekuwa wakisua ilikuwepo na uchache wa wapiga kura mfano Arusha japo wanatangaza kuongeza mashine lakini kila siku uharibifu wa mashine kuisha wino, na kuweka watu wasio fanya kazi kwa ufanisi wakati wa uandikishaji.

Je mtanzania mwenye akili na utashi juu ya nchii hii ni wapi mikono sahihi yakuiweka nchi hii tafakari chukua hatua.
 
Umasikini wetu na uduni wa elimu yetu ndio turufu kwa wanasiasa wote sio CCM pekee.......imagine mafisadi wanasifiwa na wapinzani nowadays.
 
1437292599478.jpg
 
Back
Top Bottom