IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
*CCM YA USHINDI WA MBINU CHAFU WA GOLI LA MKONO.
Nioneshe sana maaikitiko yangu kwa hiki kinachoendelea kufanyika mpaka sasa kikifanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni kitendo cha aibu sana kufanywa na Chama kikongwe kama hiki ambacho kimekuwa madarakani kwa takribani miongo mitano. Kitendo hiki ni aibu kubwa sana na kinaonesha jinsi ambavyo kimezeeka kwa kuwa na mbinu si tu kuwa chafu bali mbinu za zamani dhidi ya ushindi katika karne hii ya sayansi na teknolojia.
CCM wameamua kutumia mbinu ya kuchukua kadi (shahada) ya mpiga kura na kunakiri Majina pamoja na namba za wapiga kura ili kuwaondolea haki yao ya kimsingi ya katiba ya kupiga kura.
Star Tv waliwahi kuripoti taarifa hii kutoka Geita na kudhani kama ni siasa ya kuchafuana kipindi hiki cha kuolekea uchaguz mkuu lakini leo nimeamini haya.
Mkoani hapa (Singida) baada ya kufanya uchunguzi nagundua kuwa katika Vijiji vya Puma, Kituntu, Isaranda na baadhi ya vijiji vya Wilaya hii ya Ikungi, baadhi ya wenyeviti wa mitaa wasio waaminifu wamekuwa wakipita katika kaya za wakazi hawa na kuwalaghai kuwa tunaenda kuandaa na kurekebisha taarifa zenu maana inaonekana zimekosewa.
Nikapata kuongea na Bwana Abdallah Juma mkazi wa kijiji cha Puma na kuniambia haya
"Sikuwepo nyumbani, lakini niliporudi mke Wangu "akaniambia kuwa alipita hapa mjumbe na kuniomba shahada ya kupigia kura na kusema kunataarifa anaenda kurekebisha, akachukua kadi na nikaona anaandika jina na namba na kunirudishia",
Ni mbinu chafu ambayo Chama kama hiki hakustahili kuitumia.
"CCM itashinda uchaguzi hata kwa goli la Mkono"
By Nape Nnauye.
Ndugu wananchi, nawaomba msikubali kutoa aka kumpa mtu usiyemwamini shahada yako ya kupigia kura, tuwaondoe madarakani maana wana mbinu nyingi na chafu na za kizamani za kutaka kushinda uchaguzi, jiulize kwa nini lengo lao ni kutaka kushinda tu hata kwa mbinu chafu?, je Ikulu kuna nini, wanataka kwenda kufanya nini mpaka wang'ang'anie kutumia mbinu chafu?
Tunza kadi yako, piga kura yako 25/10/20115 kuiondoa CCM madarakani.
#NinaImaniNaLOWASSA .