Balaaaa dada anguHahahhaahah
Mbona mm rafik yako hutak kunisupriseNdo Maana hata Mimi Sioendi napenda Kama nilivyo....Tena huwa Vingine Vizuri siviweki ili aje ni msuprise!
Nisikuaibishe nn bhn wewe mwenyewe umesema siku tukionana utanikimbiaUsiniaibishe bana chamdeko



Khaaaaa kilichokuchekesha najua ni hiyo my
mmmh! Umeamua kunianika demiss!Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah
Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa
Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
NakaziaNimedhani mbinu sita zitakua hizi
1. Mpe pesa
2.mtumie pesa
3.muhonge pesa
4.mpe hela
5.mtumie hela
6. Muhonge hela
Kama tumeanza kuwindana itakuwa safi sanaUko mbioni kunasa kwenye rada yangu.....



Ngoja niifanyie uzinduzi halafu utaona moto wakeKama tumeanza kuwindana itakuwa safi sana![]()
Wacha na mimi ninoe kisu changuNgoja niifanyie uzinduzi halafu utaona moto wake


Wanaume wa Jamiiforum ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?Nimedhani mbinu sita zitakua hizi
1. Mpe pesa
2.mtumie pesa
3.muhonge pesa
4.mpe hela
5.mtumie hela
6. Muhonge hela
Khaaaa, kwa hiyo wataka kuja kunikula kitoweo eehh.Wacha na mimi ninoe kisu changu
Mzima lakin?
Naanza na wewe hahaahahaDuuu..mbona umemwaga mchele kwenye kuku wengi sasa....
Sina maana hiyo bhanaKhaaaa, kwa hiyo wataka kuja kunikula kitoweo eehh.
Nasepa zangu hunikuti kabisa![]()
![]()
![]()
Mimi sijambo hofu kwako


Sawa.Sina maana hiyo bhana
Nilimaanisha naenda panga kikosi changu nikunase mapema.
Me mzima sana
Njoo tuanzeeeNaanza na wewe hahaahaha