Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Mkuu kitengo ngoja tukichukueHizi enzi nimeshastaafu
Mkuu kitengo ngoja tukichukueHizi enzi nimeshastaafu
Nakumbuka kitambo wakati ndio mitandao ya kijamii inaanza kuvuma nikajikuta nimetongoza kimwana Facebook, cha kushangaza kuja kukutana nae haendani kabisa na ile taswira iliyonivutia, ilibidi nilale mbele ukawa ndio mwanzo na mwisho kushobokea mademu kwa social media...
pole. Wanaume MNA matukio!!!!
Namba 3 nimeipenda kumbe hadi brand inajengwa?1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu
2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .
3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako
4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe
5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.
6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!
kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
Unapotoshwa. Komaa na yule tu wa mtaani kwakoAcha atupe madini![]()
![]()
Humu ukitaka kutafuna hadi utawagonganishaMkuu kitengo ngoja tukichukue
Mmmh kuna kaukweli hapoNaona unatoa mbinu za kuwapata single mothers wa jf
8 kati ya 10 ya wanawake wa jf ni single mothers
Usisahau hilo



Naamini utampata. Carba pita huku!!Lakin sawa japo sio sawa san![]()
![]()
![]()
MNA kazi nyie!!!
Wangu sikumpata kwa mbinu hizo.
Watu hawafanani, Hakuna formula maalum.
Procedures zote hizo za nini?
kujichosha tu

Harakati za pimbi hazijawahi fanikiwa![]()
![]()
hebu ning'ate sikio vizuri hapo



Hayo macho ya njano kama una umwa manjano?






Na kwel Mkuu hahaVita hivi inabidi tubadili mbinu mkuu
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaahMimi kama balozi wa wanaojificha natoa taarifa kwako.
Tutaendelea kujificha kama kawaida![]()
![]()
![]()
Mshana Jr alituzidi uchawi tu hamna kingine![]()
![]()
![]()