Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

Spot on mkuu Rutashubanyuma!!

LoyalTZCitizen........labda ninukuu ifuatayo........................Psalms 49:3 "My mouth shall speak wisdom and the meditation of my heart shall yield an understanding." [MENTION]@LoyalTZCitizen[/MENTION]
 
Mosha wa wapi wewe hutaki majukumu? Kama unamuachia mkeo m'bebe majukumu wote kubali kuwa treated equally hehehe!
Hii imekaa kizamani zaidi. Kwa sasa mkw au mume wan fursa sawa katika maisha. Mengine ni aeewano tu kati ya mke na mme.
 
Ongezea na hili mukubwa!hakikisha hakuzidi 'kipato' hilo ni muhimu mno!najua wanandoa ambao wake zao wana hela,jamaa hata kuomba unyumba inabd utume sms ufanye booking!mama yupo bussy!
 
Haki sawa au Siyo Mama Ashrat!

1. Ukimfulia naye anakufulia
2. Ukimuogesha mtoto leo kesho zamu yake
3. Ukipika na Yeye anapika

Dunia hii Mwanaume kama huyo hata Majiran na wanawake wengine wanamwita si mwanaume kamili maana anaingilia MAJUKUMU YAKO..

Je? Wewe huwa unamsaidia Majukumu yake kiasi Gani. Je? Kazi zake huwa unafanya.
 
Utahakikishaje kuwa hakuzidi kipato? Maybe kwa kuhakikisha leo yako haifanani na kesho yako.
Ongezea na hili mukubwa!hakikisha hakuzidi 'kipato' hilo ni muhimu mno!najua wanandoa ambao wake zao wana hela,jamaa hata kuomba unyumba inabd utume sms ufanye booking!mama yupo bussy!
 
1.Kupika ni Jukumu la Mwanaume
2. Kupika je

Mwanaume kamili hafanyi hayo Mambo hapo.. Hako ni kavulana

We uliumbwa nikuletee Pesa za chakula ukanitafutie Vyakula vinono nile nikupende zaidi. Ukileta Mambo ya Ubeijing. Wanawake wa KITANGA na Zanzibar Wanakuwa Nyumba Ndogo..
 
Ongezea na hili mukubwa!hakikisha hakuzidi 'kipato' hilo ni muhimu mno!najua wanandoa ambao wake zao wana hela,jamaa hata kuomba unyumba inabd utume sms ufanye booking!mama yupo bussy!
 
Ongezea na hili mukubwa!hakikisha hakuzidi 'kipato' hilo ni muhimu mno!najua wanandoa ambao wake zao wana hela,jamaa hata kuomba unyumba inabd utume sms ufanye booking!mama yupo bussy!

Wanawake wenye Pesa ndo Walivyo. Wanasahau Majukumu...

Wanaume hata kama ni Mchimba Madini akirudi Nyumbani Dozi kama kawaida na Magoli mengi. Mwanamke akiwa na Saloon tu kila kiungo Kimechoka. Sasa kwanini MUME asichukue mfanyakazi/H.G au Nyumba Ndogo
 
Spot on mkuu Rutashubanyuma!!

LoyalTZCitizen........labd aninukuu ifuatayo........................Psalms 49:3 "My mouth shall speak wisdom and the meditation of my heart shall yield anunderstanding." [MENTION]@LoyalTZCitizen[/MENTION]
 
a real man hujiandaa kubeba majukumu yake tangia akiwa mdogo........huyo ni kiwavi jeshi mpe nafasi ya kujirekebisha au mtimue mara moja...................kwenye nyekundu siyo wote................wengi wetu tunajivunia kubeba majukumu yetu na hatutaki kubebeshwa yasiyo yetu..........ikibidi baadhi yake hata mtumishi wa ndani asaidie lakini a real man stays away from them............[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
huyo ni kiwavi jeshi mpe muda ajirekjebishe au mtimue.............maana siyo mume huyo ni mbambaishaji.......[MENTION]@King'asti[/MENTION]
 
Ongezea na hili mukubwa!hakikisha hakuzidi 'kipato' hilo ni muhimu mno!najua wanandoa ambao wake zao wana hela,jamaa hata kuomba unyumba inabd utume sms ufanye booking!mama yupo bussy!

Hela yake inakuhusu nini?.........atajijua na vijisenti vyake...............awe nazo au la hayakuhusu Sithole...........wewe bebe majukumu yako kwa nyakati zote...........usitoe mwanya wa kubadilishana kwani ukifanya hivyo atakutawala na wewe hutakuwa na furaha maishani mwako.....................mwishowe utakufa kwa ugonjwa ya moyo au shinikizo la damu..................................[MENTION]@Sithole[/MENTION]
 
Haki sawa au Siyo Mama Ashrat!

1. Ukimfulia naye anakufulia
2. Ukimuogesha mtoto leo kesho zamu yake
3. Ukipika na Yeye anapika

RGFOREVER umesahahu moja......................ukitungwa mimba na yeye kesho zamu yake unamtungisha mimba.....................ngoma inakuwa droooooooooooooooooo.......................ya Mwenyezi Mungu mwachieni Mwenyezi Mungu...................mkishindana naye itakula kwenu.......hakuna usawa a man ought to always be on top of her woman everywhere............not only beneath the warmth of their sheets in the bedroom where none else is an eye witness...........[MENTION]@RGFOREVER[/MENTION]

Na ndiyo maana Mwenyezi Mungu anasema "I know the thoughts of a man and that they are futile........" Psalms 94:11
Dunia hii Mwanaume kama huyo hata Majiran na wanawake wengine wanamwita si mwanaume kamili maana anaingilia MAJUKUMU YAKO..

Je? Wewe huwa unamsaidia Majukumu yake kiasi Gani. Je? Kazi zake huwa unafanya.
 
Mwanamke KAMILI atahakikisha Mwanaume anafurahia Chakula chake....

Hakuna Mwanaume utampata kwa Tabia za Ubeijing.

UPO KAZINI ANAKUAMBIA:
"Leo ni siku ya Clinic mme wangu twende"
unakuta mtoto anaenda kupima uzito tu..
 
mie 9 ndio naisimamia siku zote..
 
ok yawezekana lakini naamini yote ni upendo ila yasizidi kiasi maana wanawake ni wadhaifu sana akiona wewe ni mdhaifu kwa kitu fulani hapo ndipo anapokupiga kwenzi
 
Mwanamke KAMILI atahakikisha Mwanaume anafurahia Chakula chake....

Hakuna Mwanaume utampata kwa Tabia za Ubeijing.

UPO KAZINI ANAKUAMBIA:
"Leo ni siku ya Clinic mme wangu twende"
unakuta mtoto anaenda kupima uzito tu..

mambo ya ubeijin sometimes sio poa kabisa..
 
Mwanamke KAMILI atahakikisha Mwanaume anafurahia Chakula chake....

Hakuna Mwanaume utampata kwa Tabia za Ubeijing.

UPO KAZINI ANAKUAMBIA:
"Leo ni siku ya Clinic mme wangu twende"
unakuta mtoto anaenda kupima uzito tu..

waeleze RGFOREVER.waelimike kabisa na wajue tumeumbwa tofauti sana.............[MENTION]@RGforever[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…