LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Hehehe huu upuuzi washamba wanaupokea haraka sana kwa kua umeongea kile wanachotaka kusikia.
Hakuna kitu kama hicho, Centurion unaongelea movie? duh! Hatuna chombo kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga hadi leo hii, hata 10% ya speed ya mwanga tu bado hatujakaribia, kisayansi speed ya mwanga hatuwezi kuifikia, zipo sababu maalum hapa si mahala pake wala hutonielewa.
Leo hii kwenda Mars peke yake, sayari ambayo ipo jirani yetu tunatumia miezi sita hadi nane. Huko mbinguni unaposema wewe hicho chombo walikirusha lini? miaka milioni iliyopita au? tulikua hata na chuma enzi hizo?
Watu wenye imani zinazosuasua hua mnanishangaza sana, mnatafuta kila njia ili ujiridhishe moyo wako kua Mungu yupo, hehe! kama unaamini unaamini tu, kama huamini huamini, usikae unameza vitu kama hivi. Narudia tena kwa mara ya mia moja, zaidi ya 50% ya vitu unavyosoma kwenye internet ni vya uongo kua makini sana.
You have my respects boss!
Ila to add up,duniani tuna uwezo wa ku-accelerate particles to multiples ya speed of light,ila kujenga full fledged shuttle ya speed ya light bado kabisa
duu... iyo picha mbona kamaa ime editiwaa ivii..Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Hatuna uwezo wa ku~accelerate particles to multiples ya speed of light, labda kama unaonagelea "factors", multiples navojua ni a number multiplied by an integer, sasa speed of light (c) tukisema multiple maana yake 2c, 3c ...... kitu ambacho si kweli, hata kwa something as small as an indivisible particle bado hatujaweza kufikia speed of light, theory inasema tutahitaji infinite amount of energy ku~accelerate something kufikia such speed. Na unajua ikiwa attained in multiples as you say then maana yake hiyo particle itakua inaenda nyuma in time, Tachyons zenyewe ambazo wanasema ziko faster than light ni theoretical tu, hakuna hata moja iliyowahi kua detected hadi leo.
Yaani wamepotoshwa vibaya sana..... Kuamini Mungu tu haikupeleki popote. Unaweza usiamini Mungu na ukafanya yaliyo mema.Ukiamini Mungu "Yupo" au "Hayupo" hakuna guarantee yeyote kua utaenda peponi!
Kwani hizo tafiti zinazofanyika in observable space of universe wanamchunguza Mungu directly? Be a great thinker mkuuwanasayansi wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki. Uwezi wa mwanadamu ni mdogo sana kumchunguza Mungu soma (Isaya 40:28;Zaburi 145:3 na warumi 11:33-34)
Watu wa zamani walikua ni kama wanyama kwa ukali. Ilikua lazina wapewe vitisho kwa kifundishwa ili kupunguza ukali. Ndio maana mkadanganywa kuwa kuna mdudu anaitwa Mungu na kuonana naye lazima ufe. Kwa great thinkers watajua namaanisha nini. Naandika kwa herufi kubwa kuwa HAKUNA KITU CHOCHOTE KINACHOITWA MUNGU KILIUFANYA ULINWENGU NA VYOTE VILIVYOPO.
Exactlykwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine
Anti-matter.Bali nin... yabisi,kimiminika, gesi au dark matter? Which form nisaidie