Hapo wamenemaWanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Good.hata vile viumbe wa ajabu aliens.walianza hivihivi.wanasayansi msichoke.NAFIKIR TUNASAHAU KWAMBA BILA SAYANSI MIM NA WEW TUSINGEKUWA HAPA JAMII FORUM NA KUPEANA MAARIFA. WAACHENI WANASAYANSI WAEXPLORE MORE AND MORE ILI KUWEZA KUTATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA MAISHA YETU. NAFIKIR TUNGEKUWA NA TEKNOLOJIA KAMA TULIYOKUWA NAYO TANGU ENZI ZA ADAMU NA HAWA, TUSINGEKUWA TUNAONGOPEANA KWA SASA. IT'S ONLY SAYANSI AMBAYO INAPOGUNDUA KWAMBA JAMBO FULANI HALIKUWA SAHIHI INAACHANA NALO UNLIKE TO OUR RELIGION BELIEFS ZIMETU-BRAINWASH KWA KIASI KIKUBWA. THERE IS ONLY ONE GOD BUT WHY WE HAVE DIFFERENT CONCEPT ABOUT HIM? TUKIRUDI MIAKA TAKRIBAN 200 ILIYOPITA UTAONA TOFAUTI YA WATU WA ENZI HIZO NA SISI.... HAWA WALIKUWA WANAISHI WAKIWA NA MITAZAMO YA KUABUDU MITI NA MASANAMU, JE IWEJE WATU HAWA WAWE KATI YA WALE WALIOPOTEA... UKICHUNGUZA KWA UNDANI UTAONA NI INJUSTICE KWA WATU HAO KAMA GOD ATAWAHUKUMU KWA WASIVYOVIJUA.
Kumbe ni mtu???Mwenyezi Mungu sio nguvu
Basi wewe utakua ni mpuuzi na mshenzi sana kwa kutumia vyombo view livyobuniwa na wao. Hivyo wewe ni "MSHENZI"Wanasayansi bana ni watu wapuuzi sana
Je haya matatizo ya duniani yametoka wapi kama ukimwi na magonjwa menginekwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayo
Pepo haitoonekana tukiwa katika ulimwengu wetu huu, ni sehemu ambayo jicho la binadamu na la kiumbe chochote kilichopo hapa Duniani Halitoweza kuona. A matter of Fact, only death is standing between you and Pepo au Moto. So kama we are eager to see them, wait for that unknown second when Malaika mtwaaji wa Roho atakapokuunganisha katika Maisha yajayo.
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayo
Watu inabidi waelewe kuwa Mungu ni nguvu ambayo haielezeki(Undefined).Mungu ni Infinitive kwa uwezo!Hakuna yeyote mpaka leo anayejua kwa uhakika dunia na sayari zingine zimekuwepo toka lini na hivi njia gani na ngapi Mungu amezitumia katika kujifunua kwa mwanadamu na viumbe wengine katika sayari hizo.Kwa hiyo watu tusifikirie kuwa labda kule Mungu na utukufu wake kuweza kuonekana kwa binadamu kwa njia zao labda ni ishara ya Mungu kuishiwa Uwezo hapana.Mungu anaporuhusu au anapompa Mwanadamu uwezo wa kufanya jambo fulani ni kutaka kuonyesha kuwa yeye ni muweza wa mambo mengi.Kwamba ni kuonyesha Mungu ni tajiri wa uweza na utukufu.Kwa lugha nyingine na rahisi ni kuonyesha kuwa Mungu akikufunulia jambo fulani basi ujue bado yapo makubwa na mengi usiyoyajua bado.
I can't get the gist of your comment logically apart from your magic and superstitious beliefs, simply because, there are a lot of questions begging from your comments.Kuna watu wana imani ya kukariri mammbo au wanafikiri Mungu naye anafanya mambo kila wakati na wakati wowote kwa namna ile ile kama binadamu.Ikiwa hivyo basi Mungu sio muweza wa yote(Omnipotent). Someni jinsi Mungu alivyowafundisha binadamu hatua kwa hatua na njia tofauti tofauti.Maandiko yanaonyesha jinsi alivyotumia Moto,ngurumo,radi na mambo mengine ya kutisha.Baadaye akatumia Manabii.Baadaye Mwanae Yesu Kristu.Na sasa ni Roho Mtakatifu kupitia wanadamu.Roho Mtakatifu anatumia mapaji saba ikiwemo Elimu.Sayansi ni Elimu.Kwa hiyo Mungu Mwenye Uwezo (Omnipotent) hashindwi kutaka aonekane kwa binadamu kwa kutumia vyombo vya kusayansi kama hivyo walivyotumia haowanasayansi.Je umesahau kuwa Yesu Kristu alipokuja alionekana kwa macho ya kibinadamu?
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Ni NASA au ni wengine...
Ndivyo mlivyodanganywa au unatumia akili ya kuzaliwa???Kuna watu wana imani ya kukariri mammbo au wanafikiri Mungu naye anafanya mambo kila wakati na wakati wowote kwa namna ile ile kama binadamu.Ikiwa hivyo basi Mungu sio muweza wa yote(Omnipotent). Someni jinsi Mungu alivyowafundisha binadamu hatua kwa hatua na njia tofauti tofauti.Maandiko yanaonyesha jinsi alivyotumia Moto,ngurumo,radi na mambo mengine ya kutisha.Baadaye akatumia Manabii.Baadaye Mwanae Yesu Kristu.Na sasa ni Roho Mtakatifu kupitia wanadamu.Roho Mtakatifu anatumia mapaji saba ikiwemo Elimu.Sayansi ni Elimu.Kwa hiyo Mungu Mwenye Uwezo (Omnipotent) hashindwi kutaka aonekane kwa binadamu kwa kutumia vyombo vya kusayansi kama hivyo walivyotumia haowanasayansi.Je umesahau kuwa Yesu Kristu alipokuja alionekana kwa macho ya kibinadamu?
Unahitaji tu kuleta facts ili nionekane nilichosema ni uzushi.Ndivyo mlivyodanganywa au unatumia akili ya kuzaliwa???
Naomba kuuliza hivi
Mbinguni ndio peponi?
Motoni nako hawajagundua?
That is amazing science
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
Haya sasa. Ni bora ukaamini ya kuwa Mungu yupo ili ukimkuta iwe heri kwako usipomkuta pia iwe heri iliyokusaidia kuishi maisha ya amani na marefu.