MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,576
take your time brother am waiting.....Nitakujibu
Kwenye hivyo vitabu hakuna aliyesema alikutana na Mungu na kasema. Bali yalikuwa na Maono yao ya kiroho.[emoji2][emoji2][emoji2] nitakujibu.
NiceMimi najua ni wapi, ambatanisho niliweka linafana sana na ninavojuaView attachment 1268029
Mimi na wewe tunatofauti ambayo mimi naikubali kwani ni dhahili;-Mwe!
Hata sijui nianzie wapi kukujibu maana umeonyesha hujui maandiko kabisaaaa hapo ulipokosoa kitabu cha ayubu maana yake wewe bado mchanga sana kiroho na kimaandiko unahitaji ufundishwe a e i o u za kimaandiko na sio vitu vyenye kina kirefu kama hii mada hapa huwezi kuielewa! jifunze kwanza kabla hujamjibu mtu au kama hujui kuwa muwazi ueleweshwe
Basi sawa endelea na Bavaghad Gita, Upanishati, Sufis Vendhatta, Hindu philosophy na hivyo vingine utapata maarifa unayoyatafuta π π π πMimi na wewe tunatofauti ambayo mimi naikubali kwani ni dhahili;-
Wewe ni muumini na unasimamia imani yako (believer). Mimi sio muumini ni mtafuta Ukweli (seeker). Usitegemee mtu kama mimi kutegemea maandiko au simulizi tuu bali nitatafuta namna ya kujua kweli ya kile ninachokiamini.
Kuwa na imani kwa kiasi cha kupitiliza hakikujengie makuzi ya kiroho na hasa wakati hata hali ya kiroho huijui. Hebu niambie ikoje?
Ayubu uliyemtaja alikuwa binadamu kama wewe, ameandika aliyoyandika ni baada ya research yake na hiyo ndio ilikuwa conclusion yake. Hatuwezi kumjua Mungu.
Umesahau Yesu wa agano jipya yeye alizaliwa mtakatifu alibarikiwa kuijua njia ya Uzima wa milele amwaminie atamuonyesha nae atamwona Mungu na ataishi milele.
Hao ni watu wawili tofauti na Conclusion mbili tofauti, sasa utamwamini nani? Yesu au Ayubu.
Cha kushangaza sio kwa wewe tuu bali kwa waamini wengi wanazani wao wanahali dhaifu na hawewezi ku question bali wategemee maandiko ya mitume kama akina Ayubu bila wao jiuliza Kwanini Mambo yako kama yalivyo? Nini sababu ya kuzaliwa kwao? Kwa nini wanakufa? Asili yao ni nini? Kama kuna Mungu baasi ni nani na yuko wapi? Anadhamila gani na wao?
Kwa kujiuilza hayo maswali ambayo watu kama wewe unatafuta majibu kwenye biblia au Maandiko. Mimi nakwenda zaidi na ndani ya hapo. Nimetafuta katika kila maandiko Biblia, Bavaghad Gita, Upanishati, Sufis Vendhatta, Hindu philosophy na vingi tuu, lakini nakili kuwa sijasoma Korani na hii ni sababu ya language iliyotumika. Licha ya kusoma vitabu vyote hivyo nilichogundua ni kuwa jibu liko ndani yangu yaani kwenye MIMI.
Tuendelee a e i o u
Asante na naishia hapo.
Umeua[emoji16][emoji1787]Mbinguni ni hapo hapo ulipo. Ukiona unakula bata ujue uko paradiso, ukiona unahangaika ujue ndio uko jehanamu.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nilikuwa simfahamu vizuriMkuu hapo unajichosha, huyu kiumbe mbishi balaa. Ashanibishia sana kua mama maria alikua na watoto wengine..nikimwambia weka ushahidi haweki
Duh! What a bland, hay bana, soma number 99. Iko kwenye Gospel of Thomas. Maria alikuwa watoto wengine.Mkuu hapo unajichosha, huyu kiumbe mbishi balaa. Ashanibishia sana kua mama maria alikua na watoto wengine..nikimwambia weka ushahidi haweki
Pia soma Luka 8:19-21Mkuu hapo unajichosha, huyu kiumbe mbishi balaa. Ashanibishia sana kua mama maria alikua na watoto wengine..nikimwambia weka ushahidi haweki