nimeshakwambia we bado ni mchanga sana kiroho na kimaandiko unahitaji kujifunza zaidi kuliko kubishana kukusaidia tu hapo ulipoandika kuhusu uaskofu na kusomea theology,
uaskofu ni cheo au kazi za kimungu katika biblia kwahiyo hakuna mahali ndani ya biblia inamtaka mtu akasomee uchungaji,ushemasi,uaskofu ,unabii au uinjilisti π π π π ni karama Mungu anakupa anakufundisha na anakusimamia hauhitaji the so called "THEOLOGY" kumjua Mungu na kazi zake bali unahitaji Roho mtakatifu wa kukuongoza na kukufundisha,
Angalia biblia inavyosema kuhusu Qualification za Askofu 1Timotheo 3:2-3 "Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha"
Wewe unasema tukasomee THEOLOGY!! hivi vitu vidogo huvijui ndio utalijua swala la Rohoni wewe! we endelea kusomea hayo mavitabu yako