Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Migomba

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
945
1,334
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi:

Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele.

Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !

Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ?Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja !

Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally
 
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi:

Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote wajue sijajua zitani cost kiasi gani lkn niko tayari kuface chochote kitakacho tokea mbele..... Leo nimeamini kabisa maneno wanayo semaga watu kuwa mwanaume ukimuacha anapenda kuona umeanguka kimaisha ni kweli.... Kiufupi ni kwamba kipindi changu kilicho kua kirushwe Eatv ni baba Sasha ndio alienda kunizibia kipindi changu kistopishwe gafla - kwa Kweli ilikua haingii akilini kabisa - Eatv walinifata wenyewe kuniomba kufanya reality show - tukashuti vipindi- wakanipa show ya kutambulisha kipindi - na tulifanya kikao Mara ya mwisho siku chache kabla ya show - na mpaka wamenipa FNL kutambulisha kipindi- siku ya jumapili ya mwisho nilikua na kipindi radeioni na Ndio ilikua interview ya mwisho ya kutambulisha kipindi na jina langu nimekuta getini nimeingia mpaka ndani wkt wakipindi naambiwa hakuna kuna mabadiliko- nikashangaa sana nikampigia producer hapokei- baadae ana niambia hajui kinacho endelea - nampigia boss haelezi maelezo yakutosha kiufupi kulikua hakuna wa kuniambia chochote ! Kha! Na hapo kipindi nimeanza kurusha matangazo kwamba kinaanza jumanne dah ! Sikuelewa mwisho kabis nikaambiwa boss kasema hakuta kuwa na msimu mpya Tena ! nikiangalia kwenye tv naona msimu mpya wa vipindi ! Juzi Ndio nakuja Ku find out kwamba ni Joseph !!!!!! Ni kachoka kabisa nimelia kwa uchungu sana ! Ameniachia mtoto namlea peke yangu hatoi hata shilingi Na Bado sehemu ambayo ningepata ugali wa mwanangu kwenda kunizibia ????? Why Joseph ????? Ugali wa mwanao ????? Ubaya gani mkubwa nilio kufanyia mpaka imefika huko ?????? It's sad nilijua wewe una roho mbaya lkn sikujua Kama una roho mbaya ilio pitiliza !!!!! mm nisinge fika huko hata siku moja ! Wkt wa uchaguzi nimefatwa Na watu tofauti tofauti mpaka watu kutoka Mbeya nikasaidie uchaguzi kwa kukuponda tu nilipwe!!! lkn nikisema hapana wewe ni baba wa mwanangu ! ......... Lkn wewe umenifanyia hivi? Na kwa hili kamwe sitakusamehe zaidi ya kumshatakia mwenyezi Mungu tu Ndio ataweza kukuhukumu!!! Bado Tanzania viongozi wana tumia madaraka vibaya! Bado Tanzania wanawake wananyanyaswa- Tanzania Bado sana kuhusu haki hata Kama sheria zipo.." Faiza Ally
Huyo dada nae,kama anajua MUNGU yupo atahukumu si akae kimya tu amuachie MUNGU?Ah!
 
Kwa vituko vyake huyu shemeji wala hatumtii ndimu ! Sugu sijui ilikuwaje akachanganya mbegu na mtu huyu! genye zingine za ovyo kabisa ukija kumaliza unaambiwa una mtoto!
 
Walewale! Anafanya projection ya matatizo yake kwa mtu mwingine. Hadi umefika hatua ya kurusha kipindi,makubaliano yenu yalikuwaje na hicho kituo? Umeongea nini kumhusu mzazi mwenzio kwenye kipindi?
Kipindi cha kampeni usingeweza kumfanya kitu sugu,rais wa mbeya.
Mwachie sugu mtoto. Ipo hukumu ya mahakama kuwa mtoto akakae nna baba yake.
 
Faiza, you are a bigger idiot than I previously thought! Wewe na hicho kituo hadi mnarekodi hamkua na mkataba? Vipengele vilikua vinasemaje? You are very naive if you think Sugu can influence the work plan of a television station kisa tu ni mbunge! Jipange upya, labda wadanganye wasio na akili kama wewe!
 
Huyu dada anatafuta kiki kupitia kwa sugu, kama ana amini sugu amezuia kipindi kwa nini asiwashtaki EATV kama wamekiuka makubaliano kwa kuambiwa na sugu, kama kipindi kimeonekana hakina maslhi atamsingizia sugu, huyu hata akipata maleria atasema sababu ni sugu, uliwekwa kivulini ukajifanya chizi, haya hangaika mama chizi hakai kivulini.
 
Back
Top Bottom