Mbezi Kimara Interchange: Tanroads Mmetisha?

Ufipa mlisema mwananchi hahitaji flyover wala ndege mlisema mwananchi anahitaji milo mitatu na uhuru wa kuandamana .... leo vipi tena
 
hayo ndo mabadiliko waliyokuwa wanayataka watz sio blaa blaa tu
 
Zamani walikuwa wanapotea waenda kwa miguu, ila soon wataanza kupotea waenda kwa mandinga
Flyover za kuingia na kutoka Kigamboni madereva wanapotea sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…