Jamani Wadau Na Watu Wote Wanaotoka Mkoani Mbeya tujitahidi kuifanya mbeya yetu ya kijani kwa kutokata miti ovyo,tuhfadhi uoto wa asili,tufanye haya ili kuendelea kutunza hadhi ya JIJI Kubatizwa Jina La GREENCITY
Wazo zuri,ila kwa usawa wa maisha huu ambao wengi wetu bado tunatumia kuni na mkaa kwa matumizi itakuwa ngumu!
Gesi yenyewe,umeme na mafuta ya taa vipo bei juu!