MBONA NI KWENYE MAENEO AMBAYO UKAWA WANAONGOZA TU?! CCM TULIENI MNAWAHI KUCHINJA KABLA HAWAJAWAFIA VIBUDU MIKONONI MWA UKAWA. SUBIRIENI TU UKAWA WAWATUPIE NYAMAFU/VIBUDU VYENU.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala leo aviagiza vyombo vya usalama kuchunguza matumizi ya Sh22.9 bilioni za ujenzi wa soko la kimataifa Sido.