Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Nasikia Mbeya hakupitiki mwenye taarifa zaidi atujuze

BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM

majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi

Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.

Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka

Breaking Nuuuz: Machafuko Makubwa Mwanjelwa Mkoani Mbeya Polisi na Machinga wapigana vikali

Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga

Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo

Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto

Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo

Picha zote na Mpiga picha wetu maalum​

Ivi sasa hali mbaya zaidi baada ya fujo hizo kufika uyole hivi sasa barabara kuu hapa uyole imefungwa askari wamefika mabomu yanarindima vibaya da na hs nipo somalia nanatafakali hiv ni nchi gani yenye amani kama tz ndo iko hv
 
nimeipata hii nimeambiwa uyole hapafai kabisa pmechakazwa sana tuu!
 
Duuuuh utafikiri tupo Somalia. Tatizo la serikali ya JK kupeleka watu wa system sehemu zote upinzani ulipochukua ili kuidhibiti CDM matokeo yake ndiyo hayo sasa.
Hii ndiyo lugha inayotakiwa kutumiwa ili serikali ya CCM iweze kusikia.
 
Vipi mbunge wa mbeya mjini anasemaje? Mhe. Joseph Mbilinyi.
 
Ja-kayaman Tanzania ni inji ya amani kweli au IMANI YA AMANI?
 
Amani tanzania hakuna tena! Kila kona ni vurugu tupu!
 
CCM sasa hivi watakuja na lawama za kuilaumu CDM.....kama kawaida yao lazima mchawi apatikane tu hata kwa kufoji!!!!
 
****** inji imekushinda make hata ambapo hapajaanza kuwaka moto tayari joto limefika na panafuka moshi mzito...subiri dom na mwanza
 
Hapa nipo ilomba kuelekea uyole FFU wameambatana na wanajeshi baada ya FFU Kuzidiwa fujo ninyingi mno.
 
BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM

majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi

Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.

Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga

Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo

Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto

Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo

Picha zote na Mpiga picha wetu maalum​

Duuuuh utafikiri tupo Somalia. Tatizo la serikali ya JK kupeleka watu wa system sehemu zote upinzani ulipochukua ili kuidhibiti CDM matokeo yake ndiyo hayo sasa.

Mkuu sijakuelewa hebu fafanua. Kama Kandoro ni mtu wa system, mbona alikuwa Mwanza wakati CDM inachukua majimbo mwaka 2010 kule?, Kwa nini asiachwe huko adhibiti ambako kuna wabunge wengi wa CDM?.

Mimi ninavyomjua Kandoro ni mtu wa misifa, hata alipoingia Dar Jamaa wa Kariakoo walimlaumu sana kwa kutoa amri badala ya kushawishi. Uongozi si amri tu, sometimes mtu unatakiwa kushirikisha wananchi ili kufikia malengo yako. Kumiliki dola haikupi mandate ya kuwa dictator kama kweli wewe unaamini katika demokrasia.
 
CCM sasa hivi watakuja na lawama za kuilaumu CDM.....kama kawaida yao lazima mchawi apatikane tu hata kwa kufoji!!!!
ndo hapo wanapoalibu ccm WANAPANDIKIZA CHUKI KUBWA SANA KATI YA WANACHI NA SERIKALI YAO YA KIMAGAMBA
 
Noambeni rasmi mtu anayefahamiana na JK amuombe anipe majukumu ya kuwa mshauri wake wa kisiasa! Ninaamini nina hekima kuliko waliopo kwa kweli.

Unless......
 
picha inatoa ukweli zaidi ya madeno ona na huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…