Mwekezaji anatoa 10% so usishangae,,hii nchi kituko sana yaani mtu anakuja kuwekeza iwe mgodini au hotel anapewa msamaha wa kodi aangalie km Biashara ina faida au la, lakini Machinga ukifungua duka lako tu ushalipia vitu kibao TRA kabla hata hujaanza Biashara yenyewe.