Mbeya roofing sheet

Mbeya roofing sheet

Nish

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
730
Reaction score
114
Kwa wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake,Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyakeKwa mahitaji ya mabati ya kisasa yenye migongo dizaini zoteNa misumari yake waone MBEYA ROOFING SHEET au piga simu au wasup No 0758206700 karibuni sanaaa
 

Attachments

  • IMG_20141024_154628.jpg
    IMG_20141024_154628.jpg
    37.5 KB · Views: 234
  • IMG_20141024_154356.jpg
    IMG_20141024_154356.jpg
    52 KB · Views: 216
  • IMG_20141024_154323.jpg
    IMG_20141024_154323.jpg
    75 KB · Views: 189
  • IMG_20141024_154431.jpg
    IMG_20141024_154431.jpg
    66.7 KB · Views: 174
  • IMG_20141024_154500.jpg
    IMG_20141024_154500.jpg
    57.9 KB · Views: 174
Vipi ungeweka contacts ingekuwa useful sana kwa wasomaji wa uzi huu hata kwako pia,kwa maana ya sehemu ulipo
 
Vipi ungeweka contacts ingekuwa useful sana kwa wasomaji wa uzi huu hata kwako pia,kwa maana ya sehemu ulipo
Tupo mbeya nyuma stendi ya kabwe tupigie simu 0758206700 karibu sana mkuu
 
Bati zenu ni AZ au GI maana ubora ni jambo la muhimu kwangu.
Pia material ni mchina au msouth?
Maana kuna bati ukipiga tuu baada ya mda rangi hupauka
 
Naomba unipe bei moja la bando moja la blue!!!!!
Mkuu hizi zinatoka kwa mita kwa mfano fundi wako anakupimia anakuambia mita zinazohitajiKwa maelezo zaidi piga simu 0758206700
 
Bati zenu ni AZ au GI maana ubora ni jambo la muhimu kwangu.Pia material ni mchina au msouth?Maana kuna bati ukipiga tuu baada ya mda rangi hupauka
AZ mkuu na ni bora sana
 
Back
Top Bottom