Mbeya roofing sheet

Mbeya roofing sheet

Nish

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
730
Reaction score
114
Haya wakazi wa mbeya na vitongoji vyake, Iringa na vitongoji vyake, Tunduma na vitongoji vyake na Sumbawanga na vitongoji vyake kwa mahitaji ya mabati ya msauzi (kisasa) migongo aina zote na misumari yake inapatikana at reasonable prices .Karibuni sana au wasup 0758206700
 
Uliposema Mbeya Roofing nikawa excited nilijua mkuu umekuja na brand yako na kitu cha Mbeya,,,, then umesema ya msouth imenibidi kupotezea maana ni mchuuzi kama wachuuzi wengine tu
 
Uliposema Mbeya Roofing nikawa excited nilijua mkuu umekuja na brand yako na kitu cha Mbeya,,,, then umesema ya msouth imenibidi kupotezea maana ni mchuuzi kama wachuuzi wengine tu
Hapana yamefanana na ya msaouth karibu kiwandani uje uonee mwenyewe
 
Hiyo reasonable price ndio ipi?

Is uiweke hapa
 
Back
Top Bottom