Mbeya: Polisi Washusha Bendera za CHADEMA

Hapa ndiyo Huwa nihoji ueledi wa polisi.... Kwani hapa kulikuwa na jinai gani mpaka wafanye hivi Hawa police?...
Ukweli hapo haujulikani.
Inaweza kuwa mwenye eneo lake hakupendekezewa kuwekwa bendera.
Au hio sehemu sio ya CHADEMA.
Ukweli haujulikani
 
Imebakia tu waende napo Idodomya washushe zile zote zenye rangi ya mboga mboga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…